Matthew 7:28-29

28 aIsa alipomaliza kusema maneno haya, makutano ya watu wakashangazwa sana na mafundisho yake, 29 bkwa sababu alifundisha kama yeye aliye na mamlaka, wala si kama walimu wao wa sheria.
Copyright information for SwhKC